Saturday, June 17, 2006

Nation ya Majambazi...Kunamambo

Swaleh Mdoe (a.k.a. Mimi ni wenu Swaleh)

Jamaa mpenda wake za watu. siku moja alikuwa akila uroda na mke wa
jirani mtaa wa pili usiku wakati mumewe hayupo. Ghafla, mume karudi na kuanza kupiga
hodi mlango wa mbele. Mke kusikia mumewe karudi, kahamaki na kukimbilia
kumtoajamaa kupitia mlango wa nyuma. Jamaa alikurupuka mbio, akaruka ukuta akiwa uchi wa mnyama,akakimbia hadi nyumbani kwake.

Alipofika kwa mkewe, akamwambia kapigwa na majambazi njiani wakamvua
nguo zote na kumwibia kila kitu.

Mkewe akamwambia "Pole mpenzi lakini hawa majambazi si watu wema kabisa,
yaani wamekuvua nguo zote na kukuvalisha Condom!

Swaleh bursting with laughter: Naam ... Nikipiga tama la maji,nawe ukitafakari hayo, ebu tupate kibwagizo cha leo...

No comments: